Thursday, October 1, 2009

Waliofanyiwa mtihani IFM wakalia kuti kavu


N.B:"Mwnafunzi pichani hausiki na tukio!"
Waliofanyiwa mtihani IFM wakalia kuti kavu



Thursday, 01 October 2009 08:19
Grace Ndossa na Neema KalalicheWANAFUNZI wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) waliofanyiwa mtihani wa Hesabu na wanafunzi wa Sekondari ya Azania wamekali kuti kavu na mchakato wa kushughulikia adhabu yao umeanza huku ikielezwa kuwa adhabu yao ni kufukuzwa chuo.Akizungumza na majira Dar es Salaam jana, Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Edwin Mjema alisema wanafunzi hao wa mwaka wa tatu walikamatwa wiki ilioyopita nje ya eneo la chuo wakisubiri wanafunzi wa Azania waliokuwa wanawafanyia mtihani."Kwa kweli tukio hilo limenisikitisha sana kwa sababu sheria, kanuni na taratibu za mitihani zinatolewa siku ambayo mwanafunzi anajiunga kwa mara ya kwanza, lakini lazima waitwe na kujieleza kuhusina na tukio hilo ikiwa ni pamoja na kutaka kujua njia wanazotumia kufanya ujanja huo," alisema Prof. Mjema na kusisitiza kuwa adhabu ya kosa hilo ni kufutiwa mtihani na kufukuzwa chuo.Alisema Bw. Frank Kaduma aliyekuwa mwanafunzi wa sekondari ya Azania alikuwa anamfanyia mtihani Bi. Tina wakati Bw. John Kapinga mhitimu wa kidato cha sita 2003 alikuwa anamfanyia Bw. Joeli Mlengule anayesoma stashahada ya juu.Prof Mjema alisema wanafunzi hao wa Azania walipohojiwa walikiri kufanya hivyo kwa ahadi ya kupewa Sh. 150,000 kila mmoja baada ya kufanya mtihani huo.Hatua hiyo imekuja baada ya wanafunzi hao wakiwa mwaka wa kwanza kufeli somo hilo, kuwalazimu walirudie somo sasa, na kwa kuwa hawakuwa hanalielewi vyema walilazimika kukodisha vijana hao kutoka sekondari kuwafanyia mtihani huo.Prof Mjema alisema pamoja na kwamba wakati tukio hilo yeye hakuwepo, lakini atahakikisha zinachukuliwa hatua kali kukomesha tabia hiyo ambayo inaendelea kukithiri chuoni hapo.Alisema kabla ya kuanza kwa muhula wa mwaka huu lazima kesi zote ikiwamo ya hao wanafunzi zitajadiliwa na kutolewa adhabu ambayo itakuwa fundisho kwa wanafunzi wengine

Giggs still amazes Fergie



United boss continues to laud veteran star
Last updated: 1st October 2009

Giggs: Ferguson praise
Related links
Teams
Manchester United
Players
Ryan Giggs
Also see
Sky Sports experts
Transfer Centre
Fantasy Football
Sky Sports Twitter
// A bit of a hack but it works
// The article snippet is wrapped onto a second line, even when #article-sub is empty
if( $("div#article-sub").children().length == 0 ) {
$("div#article-sub").remove();
}
Manchester United boss Sir Alex Ferguson admits that Ryan Giggs continues to amaze him.
The 35-year-old, who won Player of the Year last term, looks to be in even better form this time around.
Ferguson was speaking after Giggs reached another milestone as he helped United come from behind to claim a 2-1 win over German champions Wolfsburg at Old Trafford on Wednesday evening.
After Edin Dzeko had scored for the visitors, Giggs levelled which meant he became the ninth player to amass 150 goals for the club.
Amazing
The Welshman then set up Michael Carrick for the winner in their UEFA Champions League clash, and Ferguson continues to laud his veteran midfielder.
"All Ryan is doing at the moment is continuing to play," reflected Ferguson.
"The amazing thing is he shows this incredible youthfulness about his performance. It is as if he has just started his career.
"You can give him as many as you like, he doesn't get affected by it, which is good.
"What more can you say? He is continuing like a young man. He is enjoying his football, which is wonderful to see."

Monday, September 28, 2009



Mwanafunzi Akamatwa na Vocha za Vodacom za Tsh. Mil. 90
Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
Sunday, September 27, 2009 5:14 PMMwanafunzi anayesoma chuo cha biashara cha CBE jijini Dar es Salaam amekamatwa pamoja na wenzake wawili akijaribu kuziuza vocha za wizi za kampuni ya simu ya Vodacom zenye thamani ya Tsh. Milioni 90.
Akiongea na waandishi wa habari, kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema kwamba mwanafunzi huyo wa CBE aliyejulikana kwa jina la Muhsini Amin mwenye umri wa miaka 21 alikamatwa pamoja na watuhumiwa wengine wawili Sadick Jediwa (21) mkazi wa Tandale na Rashidi Maulidi (28) mkazi wa Mwananyamala wakijaribu kuziuza vocha hizo.Kamanda Kova alisema kwamba watuhumiwa hao walikamatwa kwenye viwanja vya Leaders Club wakijaribu kuziuza vocha hizo za Ths. 10,000 na Tsh. 5,000 zenye thamani ya jumla Tsh. Milioni 90.Kova aliendelea kusema kuwa watuhumiwa hao walinaswa na polisi kufuatia mtego uliowekwa na polisi baada ya kupewa taarifa.Kova alisema kwamba polisi aliyejifanya mnunuzi wa vocha hizo alifanikiwa kuafikiana na watuhumiwa hao kuzinunua vocha hizo za Tsh. Milioni 90 kwa malipo ya nusu ya pesa hizo Tsh. Mil. 45.Watuhumiwa hao walikamatwa na kushikiliwa na polisi huku polisi ikiendelea na uchunguzi kugundua walizipata vipi vocha nyingi kiasi hicho.
Na Chondoma Shdabani, Dar es Salaam